Creation Science Information & Links!
Imani Ya Mitume
The Apostles' Creed - in Swahili (Kiswahili)

 

Ninamwamini Mungu, Baba Mwenyezi, Muumba wa mbingu na dunia;
Na Yesu Kristo, Mwana wake wa pekee, Bwana wetu,
aliyetwaa mwili kwa tendo la Roho Mutakatifu, akazaliwa na Bikira Maria.
Akateswa zamani za Pontio Pilato, akasulibiwa, akafa, akazikwa,
akashuka kuzimuni mwa wafu, akafufuka katika wafu siku ya tatu,
akapanda mbinguni, anakaa kwa mukono wa kuume wa Mungu,
Baba Mwenyezi, ndipo atakuja tena kuhukumu wazima na wafu.
Ninamwamini Roho Mutakatifu, Kanisa kikristo takatifu,
ushirika wa watakatifu, ondoleo la zambi, ufufuko wa mwili,
na uzima wa milele.  Amina


Imani Ya Mitume
http://www.creationism.org/kiswahili/saApostlesCreed_sw.htm

All Languages:  http://www.creationism.org/english/ApostlesCreed_Intl.htm



Symbolum Apostolorum (Apostolicum)
  • 
Το Σύμβολο της Πίστεως
  • 
Basic Christian Theology (The Creed)

Hoja kuu:  Kiswahili
www.creationism.org